Kwa picha.. Wahudumu wa Atabatu Abbasiyya wanafanya kitendo cha kiibada.

Wahudumu wa Atabatu Abbasiyya wamefanya kitendo cha kiibada ndani ya uwanja wa haram ya Abulfadhil Abbasi (a.s).

Wameanza kwa kusoma ziara ya Abulfadhil Abbasi (a.s) na kuimba wimbo wa (Lahnul-Ibaa).

Kisha wakasikiliza Qaswida iliyotaja utukufu wa Ahlulbait (a.s) mbele ya kundi la mazuwaru wa Atabatu Abbasiyya tukufu.

Hili ni tukio la tano na la mwisho ndani ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: