Kitengo cha maarifa kimetoa nakala ya kumi na nane ya matangazo yake ya kimtandao.

Hivi karibuni kitengo cha maarifa ya kiislamu na kibinaadamu katika Atabatu Abbasiyya, kimetoa nakala ya kumi na nane ya matangazo yake kwa njia ya ntandao kupitia akaunti ya (Habari za maarifa).

Hutoa Habari kwa njia ya mtandao kila mwezi kupitia toghuti yake chini ya idara ya Habari ya kitengo hicho.

Toleo linazaidi ya kurasa 60, zimeeleza harakati za kitengo cha maarifa na habari zake pamoja na mafanikio yaliyopatikana katika mwezi wa tatu.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: