Kitengo cha habari na utamaduni kimeendesha ibada ya swala ya Idul-Fitri katika nchi ya Gan ana Seralion.

Kitengo cha habari na utamaduni katika Atabatu Abbasiyya kimeendesha ibada ya swala ya Idul-Fitri katika nchi ya Gana na Seralion, zilizohudhuriwa na wafuasi wengi wa Ahlulbait (a.s).

Maimamu walikuwa ni mubalighina wa Markazi waliopo huko chini ya kitengo.

Mkuu wa Markazi Shekhe Saadi Sataari Shimri amesema “Markazi imeendesha ibada ya swala ya Idul-Fitri katika nchi nyingi za Afrika, zikiwemo Gana na Seralion, zimeongozwa na mubalighina wa Markazi waliopo kwenye nchi hizo”.

Wafuasi wa Ahlulbait (a.s) wamehudhuria kwa wingi katika swala ya Idi na wamepeana pongezi za sikukuu hiyo tukufu.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: