Hivi karibuni kitengo cha habari katika Atabatu Abbasiyya kimechapisha toleo la (549) la jarida la Swada-Raudhataini.
Kurasa (84) zimeandika mambo tofauti yanayohusu miradi ya Ataba na mafanikio yake, aidha kunamilango ya habari, ripoti, hakiki na taarifa za makongamano ya kidini, kielimu na kitamaduni.
Swada-Raudhataini ni jarida la kitamaduni, huandika mafanikio ya Atabatu Abbasiyya na harakati za vitengo vyake, nalo ni chapisho la kwanza katika historia ya Ataba, hutolewa na idara ya habari.