Atabatu Abbasiyya imetangaza shindano maalum la kuvunjwa kwa makaburi ya Maimamu wa Baqii (a.s).

Uongozi mkuu wa Atabatu Abbasiyya umetangaza shindano la kitamaduni kuhusu uvunjwaji wa makaburi ya Maimamu wa Baqii (a.s).

Majina ya washindi kumi yatatangazwa kwenye jukwaa la Atabatu Abbasiyya siku ya Jumatano (3/5/2023m) saa tatu jioni, kila mmoja atapewa zawadi ya Dinari za Iraq (150,000).

Sharti la kupewa zawadi mshindi anatakiwa awepo kwenye hafla hiyo na apokee mwenyewe zawadi yake, kama hatakuwepo atalazimika kwenda katika ofisi za kitengo cha Habari na utamaduni ndani ya suku tatu (3) baada ya kutangazwa washindi akiwa na kitambulisho pamoja na picha yake ya rangi.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: