Idhaa ya Alkafeel imefungua mlango wa nafasi ya kazi.

Idhaa ya Alkafeel chini ya kitengo cha habari na utamaduni katika Atabatu Abbasiyya imetangaza nafasi za kazi.

Tambua kuwa fani zinazohitajika ni, uandaaji wa vipindi pamoja na fani zingine za kompyuta, uhandisi wa sauti na kuediti picha za video.

Muombaji anatakiwa awe anaishi Karbala kwa sasa.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: