Balozi wa Denmaki amefurahishwa na makumbusho ya Alkafeel na malikale zake.

Balozi wa Denmaki nchini Iraq Mheshimiwa Karistiyani Toriningh, ametembelea makumbusho ya Alkafeel katika Atabatu Abbasiyya tukufu.

Ameangalia malikale zilizopo katika makumbusho na kuambiwa umuhimu wake na historia ya upatikanaji wake, akaonyesha kufurahishwa na malikale hizo.

Mheshimiwa balozi amesema: “Nashukuru sana kwa mapokezi mazuri, hakika ni heshima kubwa kwangu kutembelea eneo hili tukufu”.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: