Majmaa-Ilmi imetangaza kuanza usajili wa washiriki wa semina maalum ya kidini.

Majmaa-Ilmi ya Qur’ani tukufu katika Atabatu Abbasiyya, imetangaza kuanza kwa usajili wa washiriki wa semina ya kidini.

Semina hiyo itasimamiwa na Maahadi ya Qur’ani chini ya Majmaa, masomo yatakayofundishwa ni maarifa ya Qur’ani, Aqida, Fiqhi na Akhlaq.

Kwa wanaopenda kushiriki wapige simu namba: 07735027530.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: