Majmaa-Ilmi inaendelea na vikao vya maandalizi ya semina za majira ya baridi.

Majmaa-Ilmi ya Qur’ani tukufu katika Atabatu Abbasiyya imefanya kikao cha maandalizi ya mradi wa semina za Qur’ani katika majira ya baridi.

Mkuu wa kituo cha Habari katika Maahadi ya Qur’ani Sayyid Mustafa Ghazi Daimi amesema, Maahadi imefanya kikao cha kujadili mambo ya lazima katika semina za majira ya baridi ambazo zinatarajiwa kuanza hivi karibuni.

Akaongeza kuwa katika kikao hiki tumejadili usajili wa washiriki wa semina hizo na kuangalia uwezekano wa kusajili idadi kubwa zaidi watakao shiriki katika mkoa wa Karbala na kwenye mikoa mingine.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: