Chuo kikuu cha Alkafeel kinafanya maonyesho ya kazi za kielimu.

Chuo kikuu cha Alkafeel chini ya Atabatu Abbasiyya, kinafanya maonyesho ya kazi za kielimu zilizofanywa na wanafunzi wa mwaka wa pili wa kitivo cha Uhandisi.

Rais wa chuo Dokta Nuris Muhammad Shahidi Dahani amesema “Miradi na matokeo ya kielimu ya wanafunzi inasaidia kuongeza uwelewa na maarifa katika fani zao”.

Akaongeza kuwa “Maonyesho yamejaa kazi za wanafunzi wa mwaka wa tatu wa kitivo cha uhandisi, sambamba na kazi za wanafunzi wa mwaka wa nne, akawatakia mafanikio mema katika maisha yao ya kikazi na kielimu”.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: