Majmaa-Ilmi imetangaza kukaribia kwa ufunguzi wa semina za majira ya kiangazi.

Majmaa-Ilmi ya Qur’ani tukufu katika Atabatu Abbasiyya, imetangaza kukaribia ufunguzi wa semina zake za majira ya kiangazi katika mikoa minne.

Semina hizi ni maalum kwa wanafunzi wa shule wenye umri wa miaka 6 hadi 16, na zitafanywa katika mikoa minne ambayo ni Misaan, Waasit, Diwaniyya na Najafu, halafu zitafanywa semina kama hizo katika mikoa mingine pia.

Masomo yatakayofundishwa ni Fiqhi, Akhlaq, Aqida, Sira na Qur’ani, masomo yote yatafundishwa na walimu mahiri na wabobezi.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: