Kituo cha utamaduni wa familia kimetangaza kutoa muhadhara kwa njia ya mtandao kwa wasichana.

Kituo cha utamaduni wa familia katika Atabatu Abbasiyya kimetangaza kufanya mhadhara wa kimtandao kwa wanawake kuhusu (athari za furaha yako).

Mhadhara unalenga kujibu maswali mbalimbali, miongoni mwa maswali hayo ni (Nini kinatokea ukiwa na sifa ya kukubalika? Maisha yatakuwaje? Fikra na mwenendo wako utakuwaje? Namna gani utajaalia kukubalika kuwa njia ya Maisha?).

Muhadhara utarushwa moja kwa moja kwenye mtandao wa telegram saa tano asubuhi siku ya Jumamosi (20/7/2023m).

Ili kushiriki katika Mhadhara unaweza kujiunga kupitia link ifuatayo: https://t.me/alecture1
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: