Muhimu.. Ofisi ya Sayyid Sistani imetangaza kuwa kesho siku ya Jumapili ni mwezi mosi Dhulqada.

Ofisi ya Mheshimiwa Marjaa-Dini mkuu Sayyid Ali Sistani katika mji wa Najafu imetangaza kuwa kesho siku ya Jumapili ya tarehe (21/05/203m) ni siku ya kwanza ya mwezi wa Dhulqada mwaka wa 1444h.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: