Kitengo cha habari kimechapisha jarida la (461) la Swada-Raudhataini

Hivi karibuni kitengo cha habari kimechapisha jarida la (461) la Swada-Raudhataini.

Toleo hili linakurasa (84) na milango yake imeeleza miradi ya Ataba na mafanikio yake pamoja na habari, ripoti, uhakiki sambamba na makongamano ya kidini.

Jarida la Swada-Raudhataini huandika mambo ya kitamaduni, harakati zinazofanywa na Atabatu Abbasiyya, mafanikio yake nk. Nalo ni jarida la kwanza katika historia za Ataba tukufu na linachapishwa na idara ya habari na uchapishaji/ kitengo cha habari.

Kuangalia machapisho ya nyuma fungua link ifuatayo: https://alkafeel.net/sadda/journal#/

Au kwenye telegram: https://t.me/sadda_alrawdatain

Kwa kushiriki kwenye jarida la Swada-Raudhataini tuma mchango wako kwenye barua pepe ifuatayo: sadda@alkafeel.net
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: