Redio ya Alkafeel imetangaza nafasi za kazi.

Redio ya Alkafeel chini ya kitengo cha Habari na utamaduni katika Atabatu Abbasiyya imetangaza nafasi za kazi katika sekta ya uandaaji na utangazaji wa vipindi vya redio.

Kwa msichana yeyote mwenye matamshi mazuri, sauti nzuri, uwezo mzuri wa kuandika na awe anaishi Karbala, afike katika ofisi za redio.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: