Atabatu Abbasiyya imetangaza majina ya washindi wa shindano la mazazi ya Imamu Ridhwa na dada yake Fatuma Maasumah (a.s).

Uongozi mkuu wa Atabatu Abbasiyya umetangaza majina ya watu kumi waliofaulu kwenye shindano la mazazi ya Imamu Ridhwa na dada yake Fatuma Maasumah (a.s).

Mshindi anatakiwa afike mwenyewe kwenye hafla ya kupokea zawadi itakayo fanywa mbele ya mlango wa Qibla ya Abulfadhil Abbasi (a.s) siku ya Jumanne mwezi (10 Dhulqaadah 1444h) sawa na tarehe (30/5/2023m).

Iwapo mshindi akishindwa kuja kwenye hafla hiyo, atafuata zawadi yake ofisini ndani ya mwezi huu wa Dhulqaadah akiwa na kitambulisho pamoja na picha ya rangi.

Washindi wa shindano hilo ni:

  • 1- Jazaair Sattaar Jabbaar Al-Ibrahimi kutoka mkoa wa Dhiqaar.
  • 2- Alaa Jabbaar Alkarimawi kutoka mkoa wa Karbala.
  • 3- Wassam Fadhili Abbadi Almusawi kutoka mkoa wa Baabil.
  • 4- Infiaal Naadhil Muhammad Alyaasiri kutoka mkoa wa Bagdad.
  • 5- Zainabu Farhani Haadi Al-Ubaidi kutoka mkoa wa Bagdad.
  • 6- Samru Shaalani Niimah Aali-Ahmadi kutoka mkoa wa Karbala.
  • 7- Ali Abbasi Ikram Aljaairilliy kutoka mkoa wa Kirkuki.
  • 8- Nasrin Aadil Faaris Sawari kutoka mkoa wa Basra.
  • 9- Nasrin Audhu Hassan Al-Auji kutoka mkoa wa Dhiqaar.
  • 10- Nuru Khalidi Twawiir Twaaiy kutoka mkoa wa Baabil.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: