Umoja wa jumuiya, maktaba na vituo vya kielimu, kamati ya mashariki ya kati na Afrika kaskazini wanafanya jukwaa la maarifa ya kiiraq (IFLA MENA).
Jukwaa hilo linasimamiwa na kituo cha faharasi chini ya maktaba ya Atabatu Abbasiyya na chuo kikuu cha Alkafeel.
Jukwaa litafunguliwa kwa njia ya mtandao siku ya Jumanne tarehe (30/5/2023m) saa mbili jioni kwa nyakati za Bagdad.
Kwa watakaopenda kushuhudia wanaweza kujiunga kwa njia ya zoom.