Kituo cha utamaduni wa familia kimeratibu program ya kujenga uwelewa iitwayo (Uwanja wa utamaduni).

Kituo cha utamaduni wa familia katika Atabatu Abbasiyya kimeratibu program ya kujenga uwelewa iitwayo (Uwanja wa utamaduni) kwa ajili ya familia za mashahidi.

Mkuu wa kituo bibi Sara Alhafaar amesema “Prodram imehusisha muhadhara usemao (Siri za utulivu wa nafsi) kutoka kwa Adh-raa Ahmadi, na mwingine usemao (Unaona nini?) kutoka kwa Zainabu Faatwimi”.

Kulikuwa pia na kipengele cha maswali na majibu kilicho pewa jina la (Kutoka kwenu hadi kwenu).
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: