Mazowezi hayo yamehudhuriwa na kiongozi wa kikosi Shekhe Maitham Zaidi, mkuu wa mkoa wa Karbala Mhandisi Naswifu Jaasim Alkhatwabi na mkuu wa polisi Meja Jenerali Ahmadi Zauni, wazungumzaji walikuwa wawili, mkuu wa kikosi na mkuu wa mkoa wa Karbala.
Wamefanya mazowezi ya kivita ya aina tofauti na kwa kutumia siraha tofauti.
Mazowezi hayo yamehusisha kikosi cha Razaazah katika mkoa wa Karbala.