Ofisi ya Sayyid Sistani imetangaza kuwa kesho siku ya Jumatatu tunakamilisha mwezi mtukufu wa Dhulgaadah.

Ofisi ya Marjaa Dini mkuu Mheshimiwa Sayyid Ali Husseini Sistani katika mji wa Najafu, imetangaza kuwa kesho siku ya Jumatatu tunakamilisha mwezi wa Dhulqaadah na siku ya Jumanne sawa na tarehe (20/06/2023m) itakuwa siku ya kwanza ya mwezi mtukufu wa Dhulhijja 1444 hijiriyya.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: