Kituo cha utamaduni wa familia katika Atabatu Abbasiyya, kinafanya shindano la (Qiraani samawi), katika maadhimisho ya kumbukumbu ya ndoa ya nuru mbili ya Imamu Ali na bibi Zahara (a.s), watachaguliwa washindi watatu wenye majibu sahihi katika shindano hilo.
Siku ya mwisho ya kushiriki kwenye shindano hilo ni Alkhamisi ya tarehe (22/6/2023m).