Ataba tukufu imejiandaa vyema kutoa huduma bora kwa mazuwaru hao na kuwapa kila kinacho hitajika katika kufanikisha ziara.
Maelfu ya waumini huja Karbala mwezi tisa Dhulhija kwa ajili ya kufanya ibada maalum mbele ya malalo ya Imamu Hussein na ndugu yake Abulfadhil Abbasi (a.s).