Kitengo cha habari na utamaduni kimefanya nadwa katika mji wa Naswiriyya.

Kitengo cha habari na utamaduni katika Atabatu Abbasiyya, kimefanya nadwa kuhusu umuhimu wa Imamu katika historia, kwenye mji wa Naswiriyya.

Msimamizi wa kituo cha Multaqal-Qamaru/ tawi la Dhiqaar chini ya kitengo cha Shekhe Haidari Alghazi amesema “Nadwa imehudhuriwa na kundi kubwa la vijana na viongozi wa mji huo, nisehemu ya program ya Markazi inayolenga kujenga uwelewa katika jamii na mafundisho ya Dini yao tukufu”.

Akaongeza kuwa “Mkufunzi wa nadwa hiyo alikuwa ni Shekhe Murtadha Waailiy, ameongea kuhusu nafasi ya Imamu na athari yake katika historia ya kiislamu, kisha shekhe akajibu maswali kutoka kwa washiriki”.

Akabainisha kuwa “Mwisho washiriki wakashukuru uongozi kwa kuandaa nadwa hii inayosaidia kujenga mustakbali mwema”.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: