Mtafiti wa kiiran amewasilisha mada kuhusu Mahadi na safari ya mbali hadi kwenye kituo.

Mtafiti wa kiiran Zinaat Sadaat Mutwahari amewasilisha mada isemayo (Mahadi na safari ya mbali hadi kwenye kituo).

Mada hiyo imewasilishwa katika kikao kilicho endeshwa kwa lugha ya kiingereza kwenye wiki ya Imamu kimataifa, inayosimamiwa na Atabatu Abbasiyya tukufu.

Wiki ya Imamu kimataifa awamu ya kwanza inafanywa chini ya kauli mbiu isemayo (Utume na Uimamu ni vitu viwili visivyotofautiana) na anuani isemayo (Uimamu ni mfumo wa umma).

Kwa mujibu wa Mutwahari amesema, utafiti huu ni sehemu ya wimbo wa (Salaam yaa Mahadi), kwa ajili ya kuthibitisha uwepo wa Imamu Mahadi katika masomo ya kiislamu.

Utafiti umejikita katika maswala yanayo husu Imamu Mahadi (a.f), na kutumia uwelewa huo katika mihadhara ya msingi.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: