Ofisi ya Sayyid Sistani imetangaza kuwa siku ya Alkhamisi ijayo ndio siku ya kwanza ya mwezi mtukufu wa Muharam.

Ofisi ya Marjaa-Dini mkuu Sayyid Ali Sistani imetangaza kuwa siku ya Alkhamisi ndio siku ya kwanza ya mwezi mtukufu wa Muharam.

Hilo ni tamko rasmi kutoka ofisi ya Marjaa-Dini Sayyid Ali Sistani “Hakika haijathibiti kuandama mwezi katika nchi ya Iraq na maeneo ya jirani baada ya kuzama jua siku ya Jumanne (29 Dhulhijja), hivyo Jumatano ya kesho tunakamilisha mwezi”.

Akaongeza kuwa “Siku ya Alkhamisi ndio siku ya kwanza ya mwezi wa Muharam wa mwaka 1445h”.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: