Tambua nyakati za kuwasiri mawakibu za kuomboleza katika siku kumi za mwanzo wa mwezi wa Muharam.

Kitengo cha maadhimisho na mawakibu Husseiniyya kimetangaza muda wa kuwasiri katika Ataba mbili tukufu Husseiniyya na Abbasiyya kwa mawakibu za matam, sambamba na kuainisha sehemu za kuanzia na kuishia matembezi yao katika siku kumi za mwanzo wa mwezi wa Muharam mwaka huu 1445h.

Kitengo kimewataka viongozi wa mawakibu Husseiniyya wazingatie muda uliopangwa kama unavyo onekana kwenye jeduali.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: