Kwa mara ya kwanza katika vyuo vikuu binafsi vya Iraq: Chuo kikuu cha Alkafeel kimefungua “kituo cha masomo endelevu”.

Kwa mara ya kwanza katika vyuo vikuu binafsi vya Iraq, Chuo kikuu cha Alkafeel kimefungua “kituo cha masomo endelevu” baada ya kupata kibali maalum kutoka wizara ya elimu ya juu na tafiti za kielimu.

Kituo kitafanya semina za kujenga uwezo, warsha, nadwa na makongamano yanayohusu sekta na fani tofauti za kielimu.

Kituo kinalenga kujenga uwezo wa watumishi na wanafunzi kutoka kwenye taasisi tofauti za serikali na binafsi, ili kuwafanya waendane na maendeleo ya dunia.

Kufunguliwa kwa kituo hicho ni mafanikio makubwa ya kielmu katika chuo.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: