Maahadi ya Qur’ani tawi la wanawake inaendelea na mashindano ya Qur’ani katika mji wa Baabil.

Maahadi ya Qur’ani tukufu tawi la wanawake katika Atabatu Abbasiyya, imefanya mashindano ya kuhifadhi Qur’ani awamu ya sita.

Mashindano yamefanywa katika ofisi za Maahadi mkoani Baabil.

Kiongozi wa Maahadi Bibi Manaar Aljaburi amesema “Kamati ya majaji imepokea zaidi ya washiriki (20) kutoka mkoa wa Baabil katika mazingira yaliyojaa huzuni za tukio la Karbala”.

Mashindano yalikuwa mazuri, bado yanaendelea katika mkoa wetu kipenzi hadi washiriki wote wasome.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: