Atabatu Abbasiyya imemaliza majlisi za kuomboleza Ashura katika mji wa Qum.

Atabatu Abbasiyya tukufu imehitimisha majlisi za kuomboleza Ashura upande wa wakinamama katika mji wa Qum nchini Iran.

Mhadhiri wa majlisi hiyo alikuwa ni Sayyid Muayyad Tabrizi, imehudhuriwa na mamia ya waumini na wanachuoni bila kusahau wawakilishi wa ofisi za Marajii watukufu.

Atabatu Abbasiyya imekuwa mstari wa mbele kutoa mafunzo ya kiroho ndani na nje ya mji wa Karbala, kwa kuandaa program mbalimbali ikiwemo hii ya kuomboleza kifo cha Imamu Hussein bun Ali na watu wa nyumbani kwake (a.s)
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: