Chuo kikuu cha Al-Ameed kinafanya warsha kuhusu heshima na umaalum wake.

Chuo kikuu cha Al-Ameed chini ya kamati ya malezi na elimu ya juu katika Atabatu Abbasiyya, kinafanya warsha kwa watumishi wake yenye anuani isemayo (heshima na umaalum wake).

Warsha imehusisha kitengo cha muongozo wa nasfi na maelekezo ya malezi.

Rais wa kamati ya malezi na elimu ya juu Dokta Abbasi Dida Mussawi na mkuu wa kitengo cha maelekezo Dokta Hasanaini Adnani Mussawi wamehudhuria kwenye warsha hiyo.

Warsha imekuwa na maudhui zinazohusu heshima na umaalum wake, anayotakiwa kuwa nayo muelekezaji ili aweze kuathiri wanafunzi sambamba na maelekezo yake na awe na matokeo mazuri kwenye malezi yake.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: