Mtafiti kutoka Naijeria amepengeza kazi zinazofanywa na kitengo cha habari na utamaduni katika bara za Afrika.

Mbobezi wa historia ya kiislamu Ustadh Thaamin Muhammad, amepongeza kazi zinazofanywa na kitengo cha habari na utamaduni katika bara za Afroka kwenye sekta tofauti.

Ameyasema hayo alipokutana na wajumbe wa Markazi Dirasaati Afriqiyya ambao ni Shekhe Shamsu Dini na Shekhe Ibrahim Mussa.

Shekhe Shamsu Dini amesema kuwa “Tumefanya ziara kwa kushirikiana na viongozi tofauti wa kidini nchini Naijeria, tukajadili harakati za Markazi katika bara la Afrika, zinazojikita katika sekta ya Dini, Utamaduni na Ubinaadamu”, akasisitiza umuhimu wa kufanya kazi kwa kushirikiana baina ya pande mbili.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: