Kitengo cha habari kimechapisha juzuu la tatu la kitabu cha mtazamo wa maarifa.

Kitengo cha habari na utamaduni katika Atabatu Abbasiyya, kimechapisha juzuu la tatu la kitabu cha nadhariyya ya maarifa cha kitafiti, kiitwacho “Mitazamo na maarifa katika fikra ya kiislamu”.

Kitabu hiki ni matokeo ya tafiti zinazofanywa na kitengo cha tafiti za kiislamu chini ya kitengo, kazi hii imefanywa na Dokta Ammaar Abdurazaaq Swaghiir.

Faharasi ya kitabu hicho imejumuisha mambo yafuatayo:

  • - Nadhariyya ya maarifa katika madrasa Mashaaiyya/ Dkt. Farqaan Abdul-Imamu.
  • - Nadhariyya ya maarifa katika madrasa ya Ishraaqiyya/ Hassanaini Jamali.
  • - Nadhariyya ya maarifa katika madrasa ya Swadraiyya/ Dkt. Muhammad Abdul-Mahadi Salman Halo.
  • - Nadhariyya ya maarifa katika madrasa ya Nayu-Swadraaiyya/ Dkt. Haatim Jayashi.
  • - Nadhariyya ya maarifa kwa mzungumzaji wa Shia Imamiyya/ Shekhe Hussein Hassan Saaluuk.
  • - Nadhariyya ya maarifa kwa mzungumzaji wa Mu’tazilah/ Dkt. Ghaidhani Sayyid Ali.
  • - Nadhariyya ya maarifa kwa Ashaira na Matrudiyya/ Dkt. Ali Swafaar.
  • - Kukosea na kupatia katika mtazamo wa Dini/ Shekhe Ali Karim Sarkodi.
  • - Upatikanaji wa maarifa katika jamii/ Dkt. Husaam Jamali Dini.
  • - Makusudi katika Usulu-Fiqhi Imamiyya/ Ali Ridhwa Aabidi Sar-Asiya.
  • - Nadhariyya ya maarifa katika uislamu/ Ahmadi Majidi.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: