- 1- Ushauri nasaha na malezi.
- 2- Elimu ya saikolojia.
- 3- Elimu ya jamii.
Muombaji anatakiwa kuwa na utayali wa kufanya kazi chuoni na awe na sifa zifuatazo:
- 1- Anaweza kutumia vizuri mitandao ya kijamii.
- 2- Anaweza kutumia kompyuta program za (Word, Exsel, PowerPoint)
- 3- Awe tayali kufanya kazi chuoni na asiwe muajiriwa wala mwenye kazi nyingine rasmi.
- 4- Asiwe yupo katika andiko la masta au dokta kwa sasa.
- 5- Inapendeza zaidi akiwa ameshawahi kuhudhuria semina za kujenga uwezo.
Waombaji watashindanishwa kulingana na vigezo vilivyowekwa na chuo, mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 6/9/2023m.
Kwa yeyote aliyetayali ajaze fomu kupitia link ifuatayo: https://alkafeel.edu.iq/apply/