Maukibu ya Ushaaqul-Kafeel imehitimisha huduma zake kwa mazuwaru wa Arubaini ya Imamu Hussein.

Maukibu ya Ushaaqul-Kafeel ambayo inasimamiwa na kitengo cha Habari na utamaduni kwa kushirikiana na Chuo kikuu cha Alkafeel, imehitimisha huduma zake kwa mazuwaru wa Arubaini ya Imamu Hussein (a.s).

Maukibu imetoa huduma mbalimbali kwa mazuwaru wa Arubaini ya Imamu Hussein (a.s), wamegawa vipande (18720) vya barafu, grasi (300,000) za maji ya kunywa na Sahani (34,250) za chakula.

Huduma zimetolewa na watumishi wa kitengo cha Habari na utamaduni katika Atabatu Abbasiyya na kituo cha Alkafeel, wamefanya kazi ya kuhudumia mazuwaru mchana na usiku.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: