Kiongozi wa shamba boy Sayyid Muhammad Harbi amesema “Watumishi wetu wametoa huduma tofauti kwa mazuwaru, toka siku ya kwanza ya ziara ya Arubaini hadi mwisho, tumefanya kazi usiku na mchana”.
Akaongeza kuwa “Miongoni mwa huduma tulizotoa ni kugawa chakula milo mitatu kila siku kwa watu zaidi ya 3000, pamoja na kugawa maji safi ya kunywa na juisi sambamba na kugawa chakula kwa watu wanaoishi kariku na Ataba tukufu”.
Kumbuka kuwa vitengo, idara na vituo vyote vya Atabatu Abbasiyya. Vimefanya kazi kubwa ya kuhudumia mazuwaru wa Arubaini ya Imamu Hussein (a.s) toka siku ya kwanza ya mwezi wa Saraf hadi tarehe ishirini ya mwezi huo.