Jumuiya ya Al-Ameed inafanya kongamano la kujadili ulimwengu wa afya kwa Ahlulbait (a.s).

Jumuiya ya Al-Ameed imefanya kongamano la kujadili ulimwengu wa afya kwa Ahlulbait (a.s).

Kongamano limefanywa chini ya usimamizi wa mkuu wa kituo cha tafiti za kiislamu katika Atabatu Abbasiyya Sayyid Hashim Milani.

Yamejadiliwa mambo mengi kuhusu kongamano linalotarajiwa kufanywa katika mwezi wa Shabani mwaka 2024m, na namna ya kuandika mada zilizopendekezwa na kuzipima kielimu pamoja na wakati wa kuanza kwa kongamano hilo.

Jumuiya ya Al-Ameed imekuwa ikifanya harakati mbalimbali sambamba na makongamano yanayo imarisha ushirikiano wa kielimu na miradi ya kitafiti sanjari na kutathmini matokeo yake.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: