Utowaji wa idadi hizo umesimamiwa na kituo cha App na program za kiislamu chini ya kitengo.
Ifuatayo ni idadi ya wanufaika kwa namba:
- - Idadi ya wanufaika wa App (6,209,502).
- - Wanufaika wa kutembea (415,851) na idadi ya hatua zilizosajiliwa (26,401,605,419).
- - Huduma ya kuongoza zaairu (942,609) wanufaika.
- - Huduma ya kuongoza waliopotea (54,836) wanufaika.
- - Huduma ya (wallpaper) wanufaika (2,315,176) upakuaji.
- - Huduma ya sauti za simu (210,064) upakuaji.
- - Huduma ya usomaji wa Qur’ani tukufu (41,544,497) usomaji.
- - Huduma ya kusoma dua na ziara (66,019,594) usomaji.
Namba tulizo taja ni huduma zilizotolewa kwenye ziara ya Arubaini kwa mujibu wa majumuisho yaliyofanywa na kituo.