Maahadi ya Qur’ani tukufu tawi la wanawake katika Atabatu Abbasiyya imefungua masomo ya Qur’ani kwa njia ya mtandao (masomo masafa).
Ratiba hiyo inajumuisha usomaji sahihi, hukumu za tajwidi, tahfiidh na maarifa ya Qur’ani tukufu.
Kwa kila msichana wanaependa kujiunga na masomo haya anaruhusiwa, hata aliye nje ya Iraq au kwenye mkoa usiokua na tawi la Maahadi, tumia namba ifuatayo kujiunga (07601887951).