Idhaa ya Alkafeel imetangaza majina ya washindi wa shindano la njia za pepo-mbili.

Idara ya Idhaa ya Alkafeel katika Atabatu Abbasiyya, imetangaza majina ya washindi wa shindano la njia za pepo-mbili lililofanywa wakati wa ziara ya Arubaini mwaka huu 1445h.

Shindano lilisimamiwa na kituo cha familia chini ya Idhaa ya Alkafeel.

Shindano lilikuwa na washiriki 624 kutoka mikoa tofauti, waliopata alama kamili walikua washiriki 437 kisha wakaingizwa kwenye mchujo kwa njia ya kura.

Wafuatao ni waliofaulu kwa njia ya kura:

  • 1- Jamila Maalani Hashim/ kutoka mkoa wa Dhiqaar.
  • 2- Marwah Ali Hassan / kutoka mkoa wa Karbala.
  • 3- Hauraa Hassan Abbasi/ kutoka mkoa wa Karbala.
  • 4- Huda Bahaau/ kutoka mkoa wa Karbala.
  • 5- Radhiyya Mahadi Hussein/ kutoka mkoa wa Najafu.
  • 6- Sara Swadiq Ibrahim/ kutoka mkoa wa Karbala.
  • 7- Yaqini Swabahu Rahimah/ kutoka mkoa wa Misaan.
  • 8- Hauraa Muhammad Badri/ kutoka mkoa wa Nainawa.
  • 9- Janati Ahmadi Shaakir/ kutoka mkoa wa Najafu.
  • 10- Liyani Dhargham Majidi/ kutoka mkoa wa Muthanna.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: