Kwa picha.. mamia ya mawakibu za kuomboleza zinamiminika kwenye haram ya kiongozi wa waumini Ali bun Abuu Twalib (a.s).

Kuanzia asubuhi mamia ya mawakibu za kuomboleza zimewasili kwenye malalo ya Imamu Ali (a.s) katika mji wa Najafu kuomboleza kifo cha Mtume Muhammad (s.a.w.w).

Mawakibu za kuomboleza zimeingia katika malalo ya kiongozi wa waumini (a.s) huku zikiimba qaswida zinazoeleza tukio la kifo cha Mtume (s.a.w.w) huku zikiwa zimebeba jeneza la kuigiza.

Mawakibu za kutoa huduma zimehudumia mazuwaru muda wote, Atabatu Alawiyya iliandaa ratiba maalum ya uingiaji na utokaji wa mawakibu katika mji wa zamani.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: