Kwa picha.. makundi ya mazuwaru wanaomboleza kifo cha Mtume mbele ya malalo ya Imamu Ali (a.s).

Mji wa Najafu umeshuhudia makundi makubwa ya mazuwaru waliokuja kuomboleza kifo cha Mtume (s.a.w.w) mbele ya malalo ya kiongozi wa waumini, Atabatu Alawiyya imefanya kila iwezalo katika kuhudumia mazuwaru hao kutoka ndani na nje ya Iraq.

Hivi sasa mji wa Najafu unashuhudia misafara mikubwa ya watu wanaotoka katika mji huo kwa kutumia gari za Atabatu Alawiyya na Ataba zingine.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: