Kitengo cha utalii wa kidini katika Atabatu Abbasiyya kimetangaza ratiba mpya ya safari ya Umra katika mwezi wa Rabiul-Awwal mwaka 1445h sawa na 2023m.
Msafara wa Saaqi wa ibada ya Umra hutoa huduma bora Zaidi za ziara na umra, hutumia basi za kisasa, zenye viyoyozi kutoka Karbala hadi Madina na Maka Kwenda na kurudi.
Akabainisha kuwa bei ya kufanya Umra ni dola (650) keshi na dola (750) kwa kulipa kidogo kidogo.
Kwa maelezo zaidi fika kwenye ofisi za Karbala zilizopo – Mlango wa Baghdad hoteli ya Aljazira ya zamani karibu na kituo cha Mwezi wa Abbasi (a.s), au wasiliana nasi kwa simu zifuatazo:
07801952463
07602283026
07704446440
07709019939