Ofisi ya Sayyid Sistani imetangaza kuwa kesho siku ya Jumamosi tunakamilisha mwezi wa Safar.

Ofisi ya Marjaa-Dini mkuu Sayyid Ali Sistani katika mji wa Najafu, imetangaza kuwa Jumamosi ya kesho tunakamilisha mwezi wa Safar na siku ya Jumapili ya tarehe (17/9/2023m) ndio siku ya kwanza ya mwezi wa Rabiul-Awwal mwaka 1445h.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: