Jumuiya ya Al-Ameed imetoa wito kwa watafiti kushiriki kwenye kongamano la kielimu na kimataifa Al-Ameed awamu ya saba.

Jumuiya ya Al-Ameed imetoa wito kwa wasomi na watafiti wa kushiriki kwenye kongamano wa kielimu na kimataifa awamu ya saba kwa kuwasilisha mada za kitafiti.

Kongamano litafanywa kwa usimamizi wa Atabatu Abbasiyya tukufu na kwa kushirikiana na Jumuiya ya Al-Ameed na chuo kikuu cha Alkafeel na Al-Ameed, chini ya kauli mbiu isemayo (Tunakutana katika uwanja wa Al-Ameed kujifunza) na anuani isemayo (Hivi katika familia na jamii kuna utambulisho na changamoto za kimkakati), kuanzia tarehe (8 – 9/11/2024) sawa na (6 – 7/ Jamadal-Uula 1446h).

Tunaanza kupokea mihtasari tarehe 15/3/2024 hadi tarehe 1/8/2024m.

Kwa maelezo zaidi piga simu kwa namba ifuatayo: 009647602323337
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: