Idara ya maelekezo ya Dini tawi la wanawake inatoa mihadhara kuhusu njia bora ya kuamiliana na watu wengine.

Mtoa mada alikuwa ni kiongozi wa idara bibi Adhraa Shaami kutoka Atabatu Abbasiyya tukufu, kumbuka kuwa mihadhara hii ni sehemu ya mradi wa (Namtegemea Abulfadhil Abbasi) na utadumu kwa muda wa siku tano.

Muhadhara unakuwa na mada tofauti, miongoni mwake ni: umuhimu wa kutambua njia za mawasiliano, namna ya kutumia njia hizo, na njia bora za mawasiliano yenye mafanikio.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: