Wanafunzi wa Maahadi ya Qur’ani tawi la wanawake katika Atabatu Abbasiyya wamepata nafasi tatu za mwanzo katika mashindano ya kuhifadhi Qur’ani.
Shindano hili ni sehemu ya maandalizi ya shindano kubwa la kitaifa ambalo husimamiwa na kituo cha kitaifa cha maarifa ya Qur’ani tukufu.
Washindi waliopatikana kwenye shindano la Najafu ni:
Mshindi wa kwanza: Nuru Ali Rahim.
Mshindi wa pili: Zainabu Muhsin Yaquub.
Mshindi wa tatu: Saji Fadhili Salim.
Mwanafunzi mwingine wa Maahadi Fatuma Khawam amekuwa mshindi wa tatu kwenye shindano la kusoma Qur’ani katika mkoa wa Baabil.