Kituo cha utamaduni wa familia kinatoa wito wa kushiriki kwenye muhadhara wa kitamaduni (Rehema kwa walimwengu).

Kituo cha utamaduni wa familia katika Atabatu Abbasiyya kimetoa wito wa kushiriki kwenye muhadhara wa (Rehema kwa walimwengu), wanaotakiwa kushiriki ni wanawake tu.

Muhadhara huo ni sehemu ya kuadhimisha mazazi ya mbora wa walimwengu Mtume Muhammad (s.a.w.w) siku ya Jumanne sawa na tarehe (3/10/2023m saa tatu na nusu asubuhi.

Muhadhara utatolewa kwenye ukumbi wa kituo uliopo mtaa wa Mulhaqu/ Barabara ya Hospitali ya Imamu Hussein (a.s) katika jengo la Swidiqatu Twahirah (a.s), kumbuka ukumbi unachukua idadi maalum ya watu, usafiri wa kurudi umeandaliwa.

Kwa kila anaependa kushiriki ajisajili kupitia link ifuatayo: https://forms.gle/WhjEBmniaVgB3hNZ7
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: