Mgeni kutoka Tanzania apongeza mifumo ya kisasa katika shule za Al-Ameed.

Mgeni kutoka Tanzania ametembelea shule za Al-Ameed zilizo chini ya Atabatu Abbasiyya na akapongeza mifumo ya kisasa inayotumika katika shule hizo.

Ameyasema hayo alipotembelea shule hizo na kuangalia mfumo wa ufundishaji, sambamba na kumbi za madarasa ya kisasa.

Mgeni huyo amefurahishwa na aliyoshuhudia, kuanzia majengo, mfumo wa ufundishaji na vifaa vya kisasa vinavyo tumika kwenye shule hizo.

Shule za Al-Ameed zinafanya kila ziwezalo kuwa na mfano bora katika sekta ya elimu, jambo litakalo zifanya kuwa na matokeo mazuri ya kielimu na kimalezi katika taifa la Iraq.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: