Wanafunzi wa Maahadi ya Qur’ani katika Atabatu Abbasiyya, wamepata nafasi ya kwanza na pili kwenye shindano la wahadhiri lililofanywa na idara ya vijana katika mkoa wa Baabil.
Wamegongana wanafunzi wawili Muntaha Muhammad Jaasim na Fatuma Muhammad Jaasim kutoka Maahadi/ tawi la Baabil kwenye nafasi ya kwanza.
Na ustadhat Nagham na bibi Zahara Abdul-Amiir Shimri wamepata nafasi ya pili, aidha bibi Dharira Muslim Swafi ametoa ushindani mkali.