Katika hospitali ya Alkafeel.. Kazi ya kuunganisha mfupa wa pega kwa mgonjwa mwenye umri wa miaka arubaini imefanikiwa.

Jopo la madaktari katika hospitali ya rufaa Alkafeel, limefanikiwa kuunganisha mfupa wa bega.

Daktari bingwa wa mifupa Dokta Husam Alghanimi amesema “Tumefanya kazi ya kuunganisha mfupa wa bega kwa mgonjwa mwenye miaka (43), uliovunjika baada ya kuanguka kutoka juu”.

Akaongeza kuwa “Aina hiyo ni miongoni mwa upasuaji mgumu za upasuaji, kwani kuna muingiliano mkubwa wa mishipa katika eneo hilo, lakini kutokana na uwepo wa vifaa-tiba vya kisasa, vimetuwezesha kufanya upasuaji wenye mafanikio, mgonjwa ana afya nzuri anaelekea kupona”.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: